karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 222
Kama Upo dsm na unafahamu au unauza projector nzuri na za kiwango cha juu njoo tufanye biashara. Nichek ktk no hiyo
Mtafute Kelvin mkuu naamini mnaweza kufanya biashara nzuri!Kama Upo dsm na unafahamu au unauza projector nzuri na za kiwango cha juu njoo tufanye biashara. Nichek ktk no 0715803577
Unauza bei gani?Vipi Epson hutaki mimi ninayo kama wataka mkuu.
Kevin yupi hebu nipe contacts zakeMtafute Kelvin mkuu naamini mnaweza kufanya biashara nzuri!
Hapana nahitaji Sana sonyVipi Epson hutaki mimi ninayo kama wataka mkuu.