Natafuta laptop (used) au mpya

Natafuta laptop (used) au mpya

Limbani

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
1,438
Reaction score
444
Habari wakuu. Natafuta laptop iwe used ama mpya yenye RAM 4gb na hdd 500gb. Mwenye nayo ani pm kwa mazungumzo zaidi
 
Mkuu nina Hp Pavilion 15
Hard disk 500gb
Ram 4gb
Processor 1.5
Colour: black
Window 8
Quadcore

Nicheck 0654994899 tuongee. Bei 600,000 mazungumzo yapo.

Note: Vodacom modem included.
 
Nina Hp Pavilion 15
Hard disk 500gb
Ram 4gb
Processor 1.5
Colour: black
Window 10 pro
Quadcore

Nicheck 0712385672 tuongee. Bei 350 000
 
Ni vzuri pia ungesema mahali ulipo ili tuone mzigo utaupataje.
 
Habari wakuu. Natafuta laptop iwe used ama mpya yenye RAM 4gb na hdd 500gb. Mwenye nayo ani pm kwa mazungumzo zaidi
Ninayo Sony viao, ni pm please au nipigie 0655957715 bei 250,000/- tu
 
Back
Top Bottom