Viwanja vinauzwa Moshi

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,738
ninauza viwanja vyenye ukubwa kuanzia metre 17.5 kwa 35 hadi heka 10 kwa bei ya mill 4 hadi 30 viwanja au Mashamba yanafaa kwa ujenzi wa Shule, Supermarket, Sheli, na makazi

viwanja vinapatkana kuanzia barabara ya Kilema Njiapanda himo,mabungo ,Uchira,Miwaleni,Kawawa Pumwani,Sango,Msaranga na eneo lolote utakalotaka

Maji na umeme ni vitu vya muhimu na tunaangalia uwepo wake kabla ya kukuuzia

mawasiliano zaidi

0621068486
0658825141
email;bonifacekcharles@gmail.com

ukituma sms au ukipiga anza na neno Kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom