Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[1/21, 11:21] Lazaro Kapinga: Nahitaji karoti mwenye nayo anitafute au kama unamfahamu MTU anayelima anitafute. Sihitaji dalali bali kutoka kwa Mkulima. Mzigo unahitajika kila siku ni biashara ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, na inavyoonekana kwenye picha hapa chini gari aina ya Suzuki Ignis inauzwa bei ya kutupwa. Gari ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote...
0 Reactions
80 Replies
17K Views
Nauza sim itel it 1505 (imetumika mwezi 1 tuu)ina warrant ya 2years na inakaa na charge saaana. Bei Tsh 150,000/= Mawasiliano piga 0783 724242/0713 724242 Napatikana Dar.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Karibu Autoguru workshop ujupatie kitanda cha 5*6 kwa bei nafuu ya sh 280000 tu. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba...
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu habari! Nahitaji shaft zenye kipenyo (diameter) 18mm na 17mm na urefu meter angalau 2 mwenye nazo anipm au atoe namba zake nitampigia. Zikiwa stainless steel itakuwa poa sana. Picha angalia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Broiler ni kuku wa nyama (wa kisasa) Wana miezi 5 na uzito wa kg 1.4, bei yake ni 5,500 kwa kila kuku mmoja, wapo kuku 500, na wanapatikana Dar es salaam, Boko magengeni, Mawasiliano 0656646495...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari aina ya nissan patrol inauzwa.. nissan patrol Td42.. MANUAL.. rangi nyeupe iko vizuri sana.. namba T 768 BVT iko dar es salaam.. 0712 219148 Nichek tufanye biashara BEI 18m maongezi yapo..
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Mamy Batiki Suppliers Ni watengenezaji na wasambazaji wa batiki nzuri isiyokakamaa wala kuchuja, kitambaa Chake ni kizuri na chenye ubora zaidi. Inapatikana kwa ukubwa wa piece Moja na nusu kwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wasiliana nami 0745865813
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza suzuki carry used ya hapahapa mjini namba c ina 4wd,diff lock na axle lock gari iko kwenye hali nzuri..bei 6.5m maongezi yapo pia..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa wale wenye vifaa vya kwenye masherehe na uwezo wa kuendesha masherehe... kuanzia washereheshaji(MCs) hadi wapishi... karibu katika website www.kodishatz.com utangaze vifaa vyako bure...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
kwa wale wenye vifaa vya kwenye masherehe na uwezo wa kuendesha masherehe... kuanzia washereheshaji(MCs) hadi wapishi... karibu katika website www.kodishatz.com utangaze vifaa vyako bure...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Wakuu, Natafuta mtu mwenye Car wash Dar es salaam anikodishie niwe naiopatrate namlipa kwa mwezi au miezi kama tutakavyokubaliana. Napenda sana kazi ya kuosha gari ila sijapata sehemu nzuri kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji Brand new SSD external hard drive for pc ya 1TB aina ya seagate au sandisc,naomba kama kuna mtu anauza ajitokeze tubonge please!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kinauzwa bei gani eti nimeambiwa ni elfu 70
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama Tangazo linavyosomeka hapo juu shamba linauzwa ekari 60, bei ni shilingi million 5.5 kwa kila ekari lipo sehemu nzuri na pia hati zote za umiliki zipo na pia linafaa kwa shughuli nyingi kama...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
J
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Kiwnja kinauzwa ukubwa ni 20×20 milion 13. Kipo sehemu nzuri Goba kinzudi,usukumani. Hakina dalali karbuni sana 0712-405818
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa madale ,ukubwa 625sqm...kipo barabarani.Anaehitaji ani pm.
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Back
Top Bottom