Kiwanja kipo km kilometre 10 mpaka 12 kutoka fery kwenye panton na kutoka kiwanjan mpaka beach ni meter 400 mpaka 500.
Block no 7 plot no 118.
Kiwanja kipo karibu na nyumba za national housing na...
Njoo ujifunze maujanja ya technologia kwa kutumia simu au computer yako kwa urahisi na ujuzi zaidi!!!
1)Kuunganisha CPU na tv yako,
2)jinsi ya kujua quality ya movie, na uzuri Wa movie kabla...
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo
NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz...
Niko songea mjini toka jumanne na tarehe 2 january narud dsm, nauza iphone 6 yenye gb 16 ina miez mitatu iko in good condition km mpya tu. Kwa anayejitaj anichek 0713806766. Bei laki 9 Karibun sana
Kuna gari toyota allion A15 imekuja na rim sijazipenda na nataka ongeza size ya yairi walau iinuke kidogo hata cm chache.
Wapi nitapata sports rim na tairi kwa bei nzuri..
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mikocheni au Mbezi Beach kwa bajeti ya Sh. 1,600,000 per month.
Nipo tayari kulipa kodi ya mwaka.
Kama kuna mwenye kuwa na nyumba ambayo angalau ina vyumba 4...
Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine.
Inaweza kufaa kwa:-
1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii
2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi...
Ninafanya biashara ya gas na vifaa vyake jijini MWANZA.nina changamoto ya kua na mitungi midogo ya kg 6. Kama kuna mtu anayo, ameacha kuendelea na biashara kwa namna moja au nyingine aniuzie hyo...
Plot ina uzwa ipo Tabata Kinyerezi shule karibu na bank ya mkopo njia ya kwenda songasi,haufiki songasi,ukubwa ni ni miguu 25 kwa 25 bei ni tsh Milion 27 maongezi,pana foundation imara sana ina...
Habari wana Jf.
Bei ni 2.7mil maelewano yapo.
Ukubwa ni mita15*15.
Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.