Fundi wa aina zote za computer

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
490
Fundi wa aina zote za computer kama laptop,desktop,all in one na brand zote kama apple,hp,dell,asus,toshiba,accer,samsung etc tunatengeneza pande zote ikiwa software au hardware.

Laptop checking for 15000/=

Desktop for 10000/=

Kwa mawasiliano 0712 21 22 20 Mr Daud.

Ofisi zipo magomeni mapipa nyuma ya seaboys.
kama una office tunaweza kufuata kazi ofisini kwako.
 
mwizi kabisa huyu msijaribu,,jamaaa hana ufundi wowote..anabangaiza kazi..hajui kitu..mi kanitoa mbezi hadi magomeni...kwenda namkuta jamaaa hana kitu yani..pipooooo jamaaaaa asikupotezeee muda wako.
 
jaribu kueheshimu kazi za watu kama umekuja ofisini kuhitaji kifaa na ukakosa isiwe ni sababu ya wewe kutoa maneno mabovu kiasi hicho ujaribu kua mstarabu kama tungelikua wezi tusingekua na ofisi jesheshimu uheshimiwe
 
Wewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
 
Attachments

  • dodo.png
    dodo.png
    59 KB · Views: 113
msidan
Wewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
ganyike TAPELI HUYUUUUUUUU kama hamuamini mtafuteni
 
Wewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
kumbe ndiko jf inakotupeleka! nimependa ulivyofukua makaburi!
 
mwizi kabisa huyu msijaribu,,jamaaa hana ufundi wowote..anabangaiza kazi..hajui kitu..mi kanitoa mbezi hadi magomeni...kwenda namkuta jamaaa hana kitu yani..pipooooo jamaaaaa asikupotezeee muda wako.

Sema ulichokifuata hapo ofisini na kisha hukufanikiwa kupata. Sisi ndo tutapima kama ni tapeli ama laa.
 
Wewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
Umesema alikuja kutafuta kifaa akakosa.. Tena unaandika alikuja kuomba kazi akakosa..mh
 
Back
Top Bottom