Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 167
Nyumba ipo morogoro mjini eneo ni chamwino,mita 100 kutoka barabarani,ina vyumba vinne,choo na maji kasoro umeme bado hujavutwa. Eneo linabaki kidogo walau kujenga hata vyumba viwili bei n million 15 maelewano yapo # 0677210276