Habarini wadau wa biashara ni gari ambayo iko vizuri na inafanya kazi inauzwa million 16 maongezi yapo haipitii kwa dalali mimi ndio mwenye gari sababu nataka kubadili biashara nyingine namba 0752048709 tuwasiliane karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.