Eneo linauzwa wahi mapema

iamdeantz

Member
Jan 26, 2017
7
4
Wahi mapema eneo kuuubwaaaaa bei kama unanunua pipi.. Eneo lipo karibu na huduma zote za jamii kama
Shule
Zahanati
Barabara
Maji
Umeme n.k
Eneo linapatikana Mabwe pande bei ni sh milion 15 lina ukubwa wa viwanja viwili yaani 40 kwa 20...
 
Hii ina maana, 15,000,000/800 square meter = 18,750 square meter, yaani, hapa unauza square meter 1 kwa TZS 18,750.00, hii ndio bei ya pipi huko Mabwepande!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom