Alex Protase
Member
- May 27, 2016
- 38
- 10
Wanajamii kama kuna mtu wa Dar Es Salaam mwenye Pub au min Bar yenye jiko ambaye ameshindwa kuiendesha kwa sababu mbali mbali na anahitaji kuikodisha/kuipangisha ikiwa na vitendea kazi vyote kama vile Fridge, freezer, crets za bia na soda nk, tuwasiliane kupitia 0688186936. Ni vizuri ukituma na picha whatsupp kupitia namba hiyo. Karibu sana.