Habari za ndugu.
kama nilivyo ainisha katika kichwa cha habari hapo juu.
ninauza Ms Project Package pamoja na jinsi ya kuitumia Program hiyo, katika kuanzisha na kusimamia miradi mbali mbali...
Habari zenu wakuu!
Naomba kufahamishwa taratibu na gharama za uagizaji wa mashine ya kutotolea vifaranga toka nje ya nchi zinakuwaje ?
kodi kam zipo ni kiasi gan?
ghrama za bandari pia .
Wadau nauza kiwanja changu kiko bunju b upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo,pale bunju mwisho unapanda kushoto kama kilometa 3 kwa kutumia ile njia kubwa iliyotengenezwa vizuri siku za...
Wakuu habari zenu leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kupatana kwa lengo la kutaka kununua smartphone nzuri kwa gharama nafuu ghafla nimekutana na chapisho la muuzaji mmoja akiuza...
Wanabodi, salaam.
Nimetoka sasa hivi kupokea simu mbili ambazo nimetumiwa toka nje, moja ni IPHONE 6 PLUS na SAMSUNG S5. Napenda kutumia simu za Samsung, kwa hiyo nimeamua kuuza iPhone 6 plus...
Wana jukwaa nahitaji chumba cha kupanga maeneo haya Magomeni, kinondoni B, Temeke, kijitonyama, Kunduchi na Chang'ombe. Budget yangu ni kuanzia elfu 50 hadi 60. Kodi awe tayari...
Habari wanajamii wenzangu,
Ninashukuru sana kwa michango yenu yote katika toipc iliyopita ya kununua gari kwa kutumia mkopo. Ni matumaini yangu mlijifunza jambo, ingawa kuna ambao walifikiri...
Habari wanajf
Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali
Natanguliza shukrani
Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri