Je una nguo chafu na upo Arusha

Habari wana jf, kama heading inavyojionyesha usikubali kuwa na nguo chafu ukapata stress call 0766898009 nitafika kufua bei
ya kufuliwa maelewano
Nimeipenda bure hii huduma,sema niko mbali na arusha
 
tangazo limejitosheleza, haya sasa wasio na wasaidizi (maids) na walio mbali na wake zao fursa hiyo. hakuna haja ya kugombana na dobi. huduma itakamilika. sijui kuhusu mashuka na kutandika...... just joking!
 
Unaweza kufika sehemu yoyote Arusha? na je unatumia mashine au mikono kufulia. Una uwezo wa kufua nguo ngapi kwa siku, unazipasi baada ya kufua?
Naweza kufika arusha(maeneo yanayofikika kwa urahisi#daladala)kupasi tutaelewana mkuu kama utakuwa na uhitaji pia nafua kwa mikono
 
tangazo limejitosheleza, haya sasa wasio na wasaidizi (maids) na walio mbali na wake zao fursa hiyo. hakuna haja ya kugombana na dobi. huduma itakamilika. sijui kuhusu mashuka na kutandika...... just joking!
Huduma inayotelewa ni kufuliwa nguo zako ata mashuka wewe tu ila utandikaji hapana iyo huduma
 
Back
Top Bottom