Fundi wa jiko la gesi

Fundi wa jiko la gesi

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wanajf

Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali

Natanguliza shukrani
 
Habari wanajf

Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali

Natanguliza shukrani

Upo wapi?
 
Habari wanajf

Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali

Natanguliza shukrani

kama upo mwanza mimi nashughulika nayo sana hayo majiko nicheck
 
Asanteni wote..nipo ukonga Dar es Salaam
 
Zingatia usafi Wa jiko.kama ni lile lenye kichwa chenye vimatundu matundu jaribu kuliosha na kupitisha kitu chenye ncha il I kuzibua matundu yapitishe gesi. Yangu ni hayo
 
Ok kaka. Hata mimi nlikuwa na shida hiyo juzi J2. Nlipoenda pale BigBon ya KKOO kununua GAS nkabeba jiko langu nkaenda nalo. Kumbe kweli kuna baadh ya Matundu huwa yanaziba. Wakanisaidia kuzibua. Wakanichaji buku Tano. Wahi pale BigBon watakusaidia.
 
Nashukuru kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi na nimeona kweli kuna mafutamafuta yameganda may be ndio yanasababisha gesi isipite..
 
kwa
Habari wanajf

Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali

Natanguliza shukrani
kwa tatizo lolote la jiko lako la gas piga +255715673024 ypo ukonga
 
Back
Top Bottom