Car4Sale Nahitaji Premio New Model

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
 
Hebu tuone picha ya hiyo gari, pengine nasi tunaweza kuvutia nayo.
 
Mm ninameagiza sit new model mil 19 mpaka hapo mzembe kweli ww ulipo ONA watu wanalalamika uchumi mgumu ukadhani million 9 nyingi , HIZO NI nyingi kwa mafisadi NDIO wanao teseka mpaka Leo , NENDA sasahivi angalia sit new model dollar NGAPI India kwenye calculator lete majibu
 
Sawa. Ila kuna watu wanakuja inbox kiongozi
 
Mm ninameagiza sit new model mil 19 mpaka hapo mzembe kweli ww ulipo ONA watu wanalalamika uchumi mgumu ukadhani million 9 nyingi , HIZO NI nyingi kwa mafisadi NDIO wanao teseka mpaka Leo , NENDA sasahivi angalia sit new model dollar NGAPI India kwenye calculator lete majibu
Kwani mashindano kaka, yeye kasema ana milioni tisa na anahitaji premio iliyotumika ila angalau namba D sasa hayo ya wewe kuagiza gari kwa milioni 19 yeye yanamuhusu nini, tena ni magari mawili tofauti sit yako na premio wapi na wapi jomba. Kama huna premio yenye namba D ya kuuza jikalie kimya tu, mbona wengi wanasoma na kukaa kimya tu
 
You said it all. Thank you
 
Hivi gari ikipata ajali kuendelea kukaa nayo ni nuksi nn mkuu
Si nuksi mkuu , unajua gari ikishapatwa na ajali inapoteza Ile ladha halisi na nyingine hata chasis huwa zinakuwa zimepinda pia unaweza jikuta unahangaika na alignment maisha yake yote hali kadhalika unaweza ikuta hata ikikimbia inaleta vibrations unnecessarily labda kama iwe ilipata minor ajali. Ila si nuksi kuwa na gari iliyopitia ajali
 
unachoongea ni kweli. Nchi za wenzetu gari ikipata ajali kabla haijarudi barabaran lazima ikaguliwe. Mfano hapabTz labda uipele chuo cha usafirishaji au maagent maalumu wajiridhishe kabla haijaingia barabarani.
 
Kwani mashindano kaka, yeye kasema ana milioni tisa na anahitaji premio iliyotumika ila angalau namba D sasa hayo ya wewe kuagiza gari kwa milioni 19 yeye yanamuhusu nini, tena ni magari mawili tofauti sit yako na premio wapi na wapi jomba. Kama huna premio yenye namba D ya kuuza jikalie kimya tu, mbona wengi wanasoma na kukaa kimya tu

HUWEZI PATA Kama ukipata huta kaa nayo hata MWAKA itakutia HASARA katika MAISHA YAKO OGOPA AU KUA MAKINI KUPATA KITU BORA KWA BEI YA KUTUPA , bora hata hiyo fedha weka baclays Plc baada ya KILA imezi 6 unapata 13% ya fedha yako HUKU ukiwaza fanya maamuzi sahihi,
PILI usinunue gari KAMA HELA NDIO HIYO A NDIO ULIYO WAHI KAMATA KATIKA MICHONGO YAKO UTAFIRISIKA MAANA GARI HILI HALIZAKISHI LABDA UE NA MISHE ZA MAAANA ZA KUFUATILIA ILA KAMA KWA STAREHE UMEKWISHA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom