Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Make : Toyota Model : Noah Mileage : 110,183km Engine size: 2000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2000 Doors : 4 Seats : 8...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Make : Toyota Model : Raum Mileage : 69,900km Engine size: 1,500cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2006 Doors : 5 Seats : 5...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi wa jukwaa hili nahitaji kununua king'amuzi,naombeni msada wenu ni king'amuzi gani kizuri na bei yake nipo Dar
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, Nahitaji water pump au mota ambayo ni 0.25 HP, 220 V yaani single phase. Je nitapata wapi? Naomba mwenye kujua zinapopatikana aniambie. Shukrani kwa wote watakaonisaidia!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nachora katuni za aina mbali mbali mfano za vichekesho, kisiasa,michezo na kijamii kwa wale wenye blogs, newspaper, magazine au anayehitaji huduma ya katuni na picha za kuchorwa aje pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza vifaranga wa kienyeji aina ya kenbro,Malawi Na Israel vina wiki mbili chanjo ya merek's,Newcastle,Na gumburo Nipo moshi mailisita Mawasiliano ni 0689350805 Na 0621699422 bei @2500
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina eneo langu nalisafisha kwa ajili ya kuwa shamba,kwa hiyo napata kuni nyingi sana,kama huko maeneo ya Dar na Pwani na unahitaji kuni nyingi kwa ajili ya shule au vitu vingine kama...
0 Reactions
4 Replies
930 Views
NAUZA GARI IST MODEL 2005 C.C 1300 BLACK NUMBER DCI .. KM 63,100. BEI SHILLINGS 8.5 MILLION .KARIBUN WATEJA.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Naomben msaada kitanda changu bado kipya ila kina mdudu mweusi hiv anakula mbao ndan kwa ndan na kuacha matundu sasa naomben ushaur nifanyaje
0 Reactions
6 Replies
44K Views
Tunauza Viwanja vilivyopimwa ,vina ukubwa wa sqm 400 hadi 2000 , vipo umbali wa mita 150 hadi km 4 kutoka barabarani , IPO miradi tofauti , bei ni 20000 kwa sqm unaweza kulipa kwa awamu. Huduma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LINE ZA UWAKALA ZA TIGOPESA BEI: 200,000 0718950680 0744993581 UKITAKA KUBADILISHIWA UMILIKIKI NI BURE TU IPA UWE NA 1.LESENI 2.TIN 3.KITAMBULISHO 4.PASSPORT 2 UTALETEWA MPAKA ULIPO
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tecno Y4 comes with a 1.0GHz dual-core processor with 1GB of RAM. It sports a 5 megapixels rear camera and a 0.3 megapixels front facing camera. For storage, the Tecno comes with 8GB built-in...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
I secure technology tuna fanya installation ya Gps tracker,Cctv cameras,Intruder alarm pamoja Electric fence. Wasiliana nasi; +255 626 824 743 isecuretechnology@yahoo.com www.isecure.co.tz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habal zenu ...naitaj mashine ya kutengeneza bis yeyote mwenye nayo au mwenye kufahamu gharama zake naomba anijuze
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MODEL YA 2003 IMETEMBEA KM 83000 BEI YA KUUZA NI 9.7M GARI IKO VIZURI KUPITA MAELEZO... KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 0715591141....NJOO UJIPATIE GARI LA UHAKIKA Picha za hizi hapa
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Kuna gari aina ya Toyota Dyna automatic transmission yenye kg 5000 tunaiuza iko vizuri haina tatizo lolote ni toleo la mwaka 2002, fuel used ni diesel. Bei ni maelewano. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji mdau ambaye ataniungamkono katika hili. Mimi ni IT specialist ninauwezo wa kutengeneza website ya online store itakayo weza kufanya mauzo ya haraka kwa bidhaa mbalimbali hapa nchini...
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Cc1300, year 2005, all documents are valid km 89000 inataka milioni 9 serious buyers call 0682362310.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kitanda tano kwa sita..cha mbao...140,000TZS Godoro inchi 8 comfy.....140,000TZS Meza ya jiko na kimeza cha TV vyote vimetengezwa kwa mbao....80,000TZS kwa vyote viwili Kama pia utahitaji vitu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Make : Toyota Model : Wish Mileage : 91,300km Engine size: 2,000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2004 Doors : 4 Seats : 5...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…