Je unahitaji GPS tracking system kwenye gari lako?

tmp-cam--1954823899.jpg
 
GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu?
 
Mkuu installastion ya gari moja ni laki tatu tu na malipo ya tracking system ni 20000 kwa mwezi ila mteja atachagua kulipa kwa mwezi au miezi mitatu na kuendelea.
 
Mimi nafunga kifaa kama hicho na nakuachia kila kitu na kwa hiyo unaweza kutrack mwenyewe na hakuna malipo kwa mwezi kwa jumla ya sh 300,000/=
 
Mkuu wewe itakua unauza tu hizo device na sio kingine.
Halafu kama una tangazo ni bora uanzishe thread yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom