Embu fanya kuweka picha tuione.Exchange with alteza four cylinders gear 6 manual number D
nipm mkuuExchange with alteza four cylinders gear 6 manual number D
mkuu unaposema imetembea kilometre kadhaa hii inamaanisha nini binafsi sijui maana yake na itakuwa na effect gan kwa mnunuaji kuhusiana na umbali wa gari uliokwishatembea..ThanksMODEL YA 2003
IMETEMBEA KM 83000
BEI YA KUUZA NI 9.7M
GARI IKO VIZURI KUPITA MAELEZO...
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU
0715591141....NJOO UJIPATIE GARI LA UHAKIKA
Wanunuzi huwa wanapendaga kujua hiyo piamkuu unaposema imetembea kilometre kadhaa hii inamaanisha nini binafsi sijui maana yake na itakuwa na effect gan kwa mnunuaji kuhusiana na umbali wa gari uliokwishatembea..Thanks