henry normal
Senior Member
- Jun 13, 2015
- 120
- 31
Habal zenu ...naitaj mashine ya kutengeneza bis yeyote mwenye nayo au mwenye kufahamu gharama zake naomba anijuze
Zipo nzuri Sana toka Uturuki kama unahitaji.Habal zenu ...naitaj mashine ya kutengeneza bis yeyote mwenye nayo au mwenye kufahamu gharama zake naomba anijuze
Unahitaji mpya au used? ya kutumia umemeJe n zile za kutumia ges