Coaster Inauzwa

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
10,476
9,601
Inauzwa on Asking Price : 29m
Ipo Zanzibar.
Haijawahi kuwa Daladala,ilikuwa Private Hire kwa ajili ya watalii
Muuzaji anauza kwa kuwa ushindani wa gari bora zaidi kwenye utalii.Pia Driver hayupo makini na kuifuja gari ikiwemo kuichunachuna.

Karibuni:-Mwenye swali aulize,maana Mie sio mwenye gari,uliza then nikuulizie.
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    156.7 KB · Views: 149
  • 3.jpg
    3.jpg
    125.8 KB · Views: 93
  • 4.jpg
    4.jpg
    110.2 KB · Views: 81
  • 5.jpg
    5.jpg
    158.9 KB · Views: 77
  • 6.jpg
    6.jpg
    123.7 KB · Views: 79
  • 7.jpg
    7.jpg
    152.8 KB · Views: 81
  • 8.jpg
    8.jpg
    118.5 KB · Views: 77
  • 9.jpg
    9.jpg
    152.8 KB · Views: 73
Kama nikiipenda gharama za kuisajili huku bala unaweza kuwa unazijua na gharama zakuivusha majini....?
 
Kama nikiipenda gharama za kuisajili huku bala unaweza kuwa unazijua na gharama zakuivusha majini....?
Kuna Agent nimemuuliza ni kwamba kwa Coaster ambayo imeishatumika kama hiyo ni Tsh: 8m
Kuisafirisha,kubadilisha vibali vyoote pamoja na number,yaani wewe unaipokea nje ya Bandari.Wewe unajikatia Bima tu.
Ila unaweza ku trace Agent mwingine,maana huwa wanatofautiana vi figure fulani hivi kidogo vya bei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom