Natafuta Mashine ya Kusaga na Kukoboa Nafaka

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Habari wana JF

Kwa yeyote anayeuza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka naomba awasiliane na mimi. Conditions ni kama zifuatazo:-
(1) Iwe iliyotumika (Iwe inafanya kazi au haifanyi kazi).
(2) Iwe maeneo ya Dar (Maeneo ya Gongo la Mboto hadi Kisarawe) yatapewa priority au Arusha.
(3) Iwe inauzwa pamoja na eneo ambalo mashine imefungwa.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom