NATAFUTA BATI ZA RANGI

ISENUKA

Member
May 25, 2014
81
10
wadau yeyote mwenye bati ya rangi anitext kwa 0686958013 maeneo ya dar es salaam, na KIBAHA, nahitaji kuanzia PC 90
 
Nakushauri nenda tu kiwandani pale ALAF! Hutajuta lakini ukienda kwingine huko ni mashaka.
 
Mi natafuta anayeuza mbao za bei nafuu treated timber za kupaua nyumba yangu.
 
Mkuu mbona zipo nyingi tu buguruni ila uwe makini sana ndugu yangu pale wezi ni wengi mno mimi. Nimemaliza kupaua juzi juzi tu mbao zote nimenunua buguruni ila ni kwa mtu ninayefahamiana naye sana!! Pale usikimbilie bei ndogo utalizwa kwenye futi!! Ubao wa futi 18!!utasomewa futi 30!!!!!!kama upo dar naweza kukusaidia iwapo utahitaji msaada wangu!! Kwenye mbao ni kilio na kamwe hata fundi wako usimuamini huwa wanashirikiana. Na wauzaji.
 
Nimeku pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom