Nahitaji bati zilizotumika

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
1,208
1,974
Wakuu amani iwe nanyi!
Nahitaji bati(za kuhezekea nyumba) zilizotumika kwa yeyote aliyenazo aniuzie ila zisiwe chakavu sanaa
Nataka kuzitumia kwa ajili ya kujenga uzio.
Napatikana Dodoma.
Karibu PM kwa yeyote alizonazo na yuko tayari kuziuza au anayeweza kunisaidia kuzipata.
 
Karakana, vetenali, Ilala boma karibu na rail,Kituo cha mwendo kasi eneo la relini zimejaa tuma nduguyo akupatie mawasiliano wakutumie mzigo idadi unayotaka
 
Karakana, vetenali, Ilala boma karibu na rail,Kituo cha mwendo kasi eneo la relini zimejaa tuma nduguyo akupatie mawasiliano wakutumie mzigo idadi unayotaka
Nashukuru sana mkuu mlaleo kwa maelekezo yalonyooka. Nitakwenda mwenyewe nikapatanishe na bei kabisaa ili nijue na namna ya kuzisafirisha.
 
Back
Top Bottom