Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Nauza Toyota Vitz,ni yangu na haina shida yoyote.Imetemba kms 96,000 na haidaiwi road licence wala insurance...0714-796778 na WhatsApp ni 0628615685.Gari iko wazo,ukihitaji kuiona fika Tegeta halafu tuwasiliane nitaileta kwa kuwa siitumii kila siku.
Nashindwa kuweka PICHA,njoo WhatsApp nikutumie....
Nashindwa kuweka PICHA,njoo WhatsApp nikutumie....