W Wamalinyi JF-Expert Member Aug 10, 2016 237 145 Apr 13, 2017 #1 Wanajamvi nataka chumba kimoja au chumba na sebule mtwara mjini kama nje ya hapa,kisizidi km 5 toka town. Namba zangu 0765505756
Wanajamvi nataka chumba kimoja au chumba na sebule mtwara mjini kama nje ya hapa,kisizidi km 5 toka town. Namba zangu 0765505756
W Wamalinyi JF-Expert Member Aug 10, 2016 237 145 Apr 13, 2017 Thread starter #2 Badungu very urgent plz
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,203 157,363 Apr 13, 2017 #3 Usiende Mbande wala Nkana Red watakuwowa wewe na Mali zako zote.
Ponjoro JF-Expert Member Sep 7, 2013 442 396 Apr 13, 2017 #5 Maana ni muhimu tujue bajeti yako ipoje...nikuunganishe na watu wa vyumba!!!
W Wamalinyi JF-Expert Member Aug 10, 2016 237 145 Apr 13, 2017 Thread starter #6 Ponjoro said: Maana ni muhimu tujue bajeti yako ipoje...nikuunganishe na watu wa vyumba!!! Click to expand... Kama ni kimoja kisizidi 40 elf,kama chumba na sebule isizidi 60 elf
Ponjoro said: Maana ni muhimu tujue bajeti yako ipoje...nikuunganishe na watu wa vyumba!!! Click to expand... Kama ni kimoja kisizidi 40 elf,kama chumba na sebule isizidi 60 elf