empress
Member
- Sep 14, 2013
- 39
- 19
Ninauza nyumba ipo keko mwanga MSD..haijaisha vizuri ila ina wapangaji wawili..kama ikimaliziwa itakuwa na vyumba 6 na frames 2..ni eneo la makazi ina leseni kabisa..nina shida ya dharura sana..nauza milioni 25 tu..kama ni serious buyer ni PM..dalali asinitafute kabisaaaa...nimedili na madalali tangu january wamenifukuzia wateja wengi kwa kupandisha bei kwa wateja hadi mara mbili ya bei niliyowaambia..nyumba iko mjini kabisa..yaan posta au kkoo..au mnazi ni kwa miguu tu wala hautaji usafiri..kama ukipanda boda mpaka posta ni buku mbili..na kkoo buku moja..utafanya due diligence zote kujiridhisha kabla ya kununua....kwakweli kama ni dalali USINIPM tafadhali..kuna walionitafuta kama real estate developers..as if wao ndo wananunua na kupangisha au kuuza kumbe na wao ni madalali..wanaenda kutafuta wateja na wanadai commission..kwakweli sintadeal na wewe pia....