Nahitaji laptop haraka..

algorithim

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
878
909
Nahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana..
Vigezo vya laptop ni hivi
1. Iwe H.P au Dell
2. Iwe na RAM at least 4GB.
3. Processor iwe i5 au i3.. but i5 itapewa kipaumbele zaidi..
4. HDD iwe 500GB au zaidi..
Kwa sasa napatikana Moshi mwenye nayo ani-pm mara moja tufanye biashara au weka dau lako hapa na vigezo vya laptop uliyonayo nitakutafuta.. pesa ipo mkononi.. Hata kama upo dar unaweza kufanya utaratibu pc ikatumwa pesa itatolewa baada ya kuona mzigo na kuridhika..
 
Unahitaji haraka?? chukua
 
HP elitebook 8440p
RAM 6GB
Harddisk 500 GB
Proceasor 2.6 GHz, Core i5
NVIDIA graphix card
DVD writer
14 inches display.

Asking price 450,000 Tsh. Maongezi yapo.

If interested check me PM nikupe namba ya simu. Location nipo DSM.

Picha nitakutumia nikirejea home.
 
30605faa5fd07d30f10fa1ee329059ee.jpg

Hizo zipo 4 nauza 2 ni touch 2in 1 moja ni ya kawaida, nilikuwa na order ya kusupply sehemu wakazingua. Zipo Dar naziza kwa bei nilolipia $800. Kama upo serious ni pm.
 
ok thanks kwa taarifa.. bei yako ipo juu sana kutokana na ukubwa wa specifications zake.. hiyo sitaiweza nashukuru ndugu..
 
Ninayo ,nauza laki tatu na nusu Ila betri ndiyo inashida na ni laptop aina ya delly.500HD,4 RAM, i3 processor.
 
Ebwana algorithm, nimekucheki kupitia namba uliyonipa PM, ila inapokelewa na mtu mwengine tofauti kabisa. Hebu icheki kama namba uliyonipa ni sahihi ama laa.
 
mkuu nimesha ku-pm saivi .. check saivi..
 
HP elitebook 8440p
RAM 6GB
Harddisk 500 GB
Proceasor 2.6 GHz, Core i5
NVIDIA graphix card
DVD writer
14 inches display.

Asking price 450,000 Tsh. Maongezi yapo.

If interested check me PM nikupe namba ya simu. Location nipo DSM.

Picha nitakutumia nikirejea home.
Vp complex laptop imenunuliw au bado ipo
 
Nahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana..
Vigezo vya laptop ni hivi
1. Iwe H.P au Dell
2. Iwe na RAM at least 4GB.
3. Processor iwe i5 au i3.. but i5 itapewa kipaumbele zaidi..
4. HDD iwe 500GB au zaidi..
Kwa sasa napatikana Moshi mwenye nayo ani-pm mara moja tufanye biashara au weka dau lako hapa na vigezo vya laptop uliyonayo nitakutafuta.. pesa ipo mkononi.. Hata kama upo dar unaweza kufanya utaratibu pc ikatumwa pesa itatolewa baada ya kuona mzigo na kuridhika..
bado inahitajika machine moja ya 300,000 .. mwenye nayo anicheki mara moja tufanye biashara..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom