Nahitaji mawe trip 50 Dar

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,953
49,706
Nahitaji mawe trip zaidi ya 50 Dar siku ya leo, kesho na Jumamosi.

Kama unazo njoo inbox.

Kupakia na mawe yenyewe yasizidi laki moja gari ni kubwa mwisho wa mawasiliano saa tano.
 
Mawe aina gani? mable au msolwa, size gani ya mawe? gari yenye cubic size gani? yanapelekwa wapi?
Mimi ninayo mawe
 
Samahani, unamaanisha, kununua, kupakia pamoja na usafiri??, gari la ujazo gani? Na kama ni pamoja na usafiri, yanaenda wapi?? Nataka tufanye kazi
 
Back
Top Bottom