The Hood
Member
- Oct 16, 2015
- 47
- 17
Habari zenu wana JF,
Ninataka kufungua stationery ambapo pia nitakuwa natoa huduma za IT karibu na chuo chochote hapa Dar es Salaam, naomba msaada wenu kwa yeyote anaejua ni sehemu gani na chuo gani ninaweza kupata frame kwa bei nafuu.
Pia kama una idea tofauti na kufungua hii biashara karibu na chuo, au unajua sehemu nzuri yenye watu wenye mahitaji makubwa na stationery please usisite kuniambia, najua JF kuna watu wazoefu na hii biashara so i am relying on you guys.
Thanks in advance