Ufahamu juu ya upatikanaji,ubora na matumizi ya vifaa vya solar

Mchumiajuone

Member
Dec 15, 2016
66
33
Wakuu ninahitaji kujuzwa kwa undani ni jinsi gani naweza kupata vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumbani
Pia napenda kufahamu ni namna gani vinafanya kazi (sina uelewa juu ya nishati hii).
Na pia jinsi gani nitabaini vifaa vyenye ubora.
Hapa nazungumzia vifaa kama,TV,friji,pasi,radio n.k
 
Solar utahitaji Solar panel, Inverter, battery na solar charger.
WATTAGE unazotumia zitategemea na vifaa ulivyo navyo na unavyotaka kuwasha. Ila kma wahitaji kwa matumizi ya ndani, umeme wa Watt 700 had 1500. Unatosha.

Huu utahitaji at least 400wt solar panel, 500ha Battery na Inverter ya watt 400 had 1500.

Hapa unaweza kuwasha appliances za ndan za msing kasoro frizer na majiko ya umeme wa Ac.
 
Kama unahtaji vfaa vya solar. Mi nina Pure sine wave inveter ya 1.4 kv. Nitafte tufanye biashara
3db06ffe495b6693c825a965a5356383.jpg
 
Back
Top Bottom