Sheli inahitajika...

Ibney

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
336
275
kuna boss anahitaji sheli ya kukodisha.
mwenye nayo au ana connection anichek kwa no hii 0787776173.
pamoja sana. yote maisha.
 
kuna boss anahitaji sheli ya kukodisha.
mwenye nayo au ana connection anichek kwa no hii 0787776173.
pamoja sana. yote maisha.
Anataka mkoa upi, ipo moja Mkoani Kikimanjaro
 
Mi nimeandika sheli sio shell. Tofautisha mkuu acha kukrem...
Jongwe
Ni Filling station mkuu na siyo sheli, ukiandika sheli watu wazima na wenye akili timamu tunajuwa ni shell, hii ni kampuni ya zamani ambayo ndio ilibeba jina lote la filling station.

Usisahau colgate na kiwi, lakini siku hizi si lazima kutumia colget na si lazima kiwi halikadharika blueband.
 
Ni hapahapa dar wakuu.
vutakamba
Shark
Vituo vya maffuta viko vingi sana....binafsi nawajua kama wamiliki kama watatu wanakodisha vituo vya maffuta...
Kimoja kiko kigogo kama kama unelekea njiaa ya kutokea mshono ile...
Alafu njoo n'a taarifa ya kutosha ....kituo hicho kinachotakiwa kodishwa kiwe n'a kino ngapi za mafuta etc,
Kama biashara ya uhakika basi utapewa connection za wamiliki maana wakati mwingine mtu analeta biashara hizi lkn mwisho wa Siku mtu anaingiaaa mitini!

Ova
 
Mkuu mrangi jamaa anahitaj sheli yoyote inayokodishwa hapo kwa jiji na ataweka msimamo wake atakapopata mawasiliano zaidi na mmiliki, ni hayo tu. Ama kuhusu kuzingua mwisho hayo mengine, mtu waweza kuhangaika nae lakin mwisho mzinguaj, lakin ndo hivyo yote riziki tu.
Na zinahitajika nyingi si moja pekee...
Ahsante
 
Nimekuelewa mkuu....ni pm # yko
Yako hapa hakishindikani kitu kama kituo cha mafuta hesabu kashapata....

Ova
 
Mkuu mrangi hyo hapo 0787776173. Natumia sim ambayo haivumilii kupm...
Kiroho Safi
 
Hapana Matola, mtu mzima anakuwa mwepesi kuelewa, ninachoshangaa ukisema sheli hata machalii under 10yrs wanaelewa, lakin nyinyi mnaojidai akili kumkichwa ndo mnabaki solemba. Jichunguze kwanin huelewi. Fanya hv kama upo dar pakia daladala ubungo inayoelekea mbagala alaf mwambie konda akushushe sheli, akikushusha hapo embu tafuta hiyo kitu unayosema wewe... Na wala mimi sijakulazimisha kusema 'sheli' japokuwa linaeleweka nawe unaelewa.
OVA in mrangi's voice
 
ili mtu awe anauhakika na biashara yako ni vizuri unaeifanya hiyo biashara uwe angalau unauelewa kidogo. Na shule si lazima uende darasani, kusoma, kusikia kwa watu ni njia mojawapo yakujifunza. Kifupi umekosea kuandika sheli. .kubali kukosolewa ndio kujifunza.
 
Mkuu Jongwe Sikatai kukosolewa, bali ni lazima kila mtu anakosea na aliyekamilika ni Allah pekee, isipokuwa kuna baadh ya vitu inawezekana mtu akasema hiv na mwingne akasema vile lakin vyote ni kitu kimoja inategemea wao wanalitumiaje hilo neno. Sion kama kuna tatizo huyu kusema sheli au kituo cha mafuta au filling station nk, nami najua baadhi ya manen mapya yanaingia katika lugha kutokana na matumizi, na hili ni moja wapo na lugha yetu twaijua bado inahitaj maneno.

Ushauri: lichomekeni katika kamusi hakuna namna. coz ni neno maarufu wala hakuna haja sisi kurushiana mate humu.
Heshima kwenu wakuu...
Napenda yawe maneno yangu ya mwisho kuhusu hili neno, tuendelee na biashara... Ambae nimemkwaza anisamehe tafadhal. Turud kweny spid ya mkuu, 'HAPA KAZI TU' maneno pembeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom