Chanika ni kubwa, hivyo viko chanika ipi??Viwanja vinauzwa Chanika ukubwa futi 45 kwa 42 bei milioni moja na laki tano pia mashamba yapo bei kuanzia milioni kumi vilevile kuna nyumba zinauzwa kuna ya milioni kumi na sita,milioni kumi na nane,milioni ishirini kwa mawasiliano piga 0718239997