baraka clemence Senior Member Sep 18, 2016 137 66 Apr 18, 2017 #1 Jaman naulizia soko la mayai ya kienyeji huko nina mayai yangu meng hapa natak nije nijumlishe huko
tibe_j JF-Expert Member Feb 12, 2015 794 1,071 Apr 18, 2017 #2 Duu hayo mayai yako moja sh.ngap? Ila huku tumezoea mayai ya kuku na kware