Nyumba inapangishwa-Kitunda Mwanagati

ABDONA

Senior Member
Aug 2, 2015
119
26
Nyumba hii ni ya nyumba 4 viwili master bed rooms na viwili vya kawaida. ina choo cha public, sebule, jiko na store. pia iko kwenye kiwanja kikubwa kama mnavojua viwanja vya mwanagati sio uswahilini ni kama masaki ndogo.
kwa mawasiliano piga 0765 75 1003
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom