Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

For Sale Ipad 3.....32gb.. inatumia Sim Card....Bei Tsh. 500,000...!!!! Mwenye Uhitaji Call/Whatsapp: 0624132227..!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wenye mahitaji ya narine kwa ajiri ya ujenzi wa maghorofa na umwagaji wa zege nauza marine body@ 48000 kwa pc mm12 na mm18@60000 kwa jumla kwa mwenye mahitaji anitafute 0715426668 na whatsap pia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza Tecno W4. Bei 150000Tsh Iko katika hal nzuri Maelewano yapo
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kiwanja ni changu mwenyewe, hakuna dalali. Ukubwa ni mita 15*15(225sqms). Bei nimepunguza kutoka 3mil hadi 1.8mil nina shida ya pesa. Umeme upo jirani, barabara ipo na pamejengwa vizuri...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kimbale Computers and Business Consultancy (KC&BC) inakuletea Software nzuri sana kwa ajili ya ku endesha biashara yako kwa unafisi zaidi kwa kutumia technologia ya kisasa zaidi. kwa...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Habari yenu wana jamvi, Nahitaji printer ya black and white only ambayo haina matumizi makubwa ya wino, naomba kwa wenye uzoefu tuwasiliane. Asanteni sana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Karibu upate mfumo bora wa ujenzi kutoka kwa kampuni ya ONE2ONE FOCUS LIMITED yenye watalaam waliobobea katika ujenzi, tutakujengea nyumba yenye ubora na uimara maradufu kwa gharama nafuu inayo...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Karibu upate mfumo bora wa ujenzi kutoka kwa kampuni ya ONE2ONE FOCUS LIMITED yenye watalaam waliobobea katika ujenzi, tutakujengea nyumba yenye ubora na uimara maradufu kwa gharama nafuu inayo...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Natamani kujua sababu ya Leo watu kuweka apples Katika profile picture zao sanasana whatsapp Sababu Haswaa ni Ipi kama unajua real reason please nisaidie
0 Reactions
7 Replies
751 Views
Bei isizidi laki na 20 anicheki inbox
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Nauza mbao za kawaida 2×4 na 2×2 kwa bei ya jumla bei ni 2×2 @3000 na 2×4@6000 kwa wingi wowote mteja anao hitaji maongezi yapo kutokana na wingi wa mzigo mawasiliano 0715426668
1 Reactions
0 Replies
664 Views
Habari wanajamvi ninapenda kuwa tangazia kuwa kwa mtu yeyote mwenye shida ya kununua mbwa aina tajwa hapo juu ni mbwa wa aina yake na pia n mbwa pekee ambao unaweza kuwa train wakacope na...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
[1/27, 10:32 PM] Dr.G: KARIBU KATIKA FURSA YA *HELPING HAND INTERNATIONAL (H2i)* _TIN 127-248-435_ _Brela -128802_ [emoji117]soma ,elewa, uliza& chukua hatua[emoji124](kujiunga) Whatsap call...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
kwa sh 150000 napata simu gan nzuri!
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Habari wadau linahitajika eneo ambalo naweza kuweka biashara ya petrol station kuanzia ukubwavya wa 50×50 kwenda juu maeneo yenye watu wengi kama buguruni Ubungo Msasani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni! naomba msaada mwenye uelewa au ufahamu wa mashamba ya kukodi maeneo ya Mkuranga au kigamboni ambapo patafaa kulima Matikiti Maji, kuwe na mazingira ya maji kwa aajili ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Karibu ujipatie batiki nzuri zenye viwango hazipauki wala kuchuja tunakupa kitu cha uhakika,ukubwa ni mita 2 per piece na piece moja ni sh elfu 14 Jumla pia Tunauza karibuni sana Napatikana dar...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Je unakipaji?, Wewe ni dancer, Comedian, Mwanamziki chipukizi au mpenda burudani lakini huna mashabiki yaani fan base itakayokufanya uoneshe kipaji na kuwa maarufu.! Basi ndo muda muafaka...
1 Reactions
0 Replies
605 Views
Visima kwa bei nafuu 'tunapatikana dar es salaam kwa melezo zaidi namba ya simu 0656535266. ..au blog yetu Saidyhasheem.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…