Muizaji una kibriendelea kusubiri unadhani shida ni za kudumu,halafu kwa bei hio bora nikajilipue benki.
Kiwanja ni changu mwenyewe,hakuna dalali.
Ukubwa ni mita 15*15(225sqms).
Bei nimepunguza kutoka 3mil hadi 1.8mil nina shida ya pesa.
Umeme upo jirani,barabara ipo na pamejengwa vizuri.
Mawasiliano 0656608136(Piga,tuma sms na Whatsapp).
ww jamaa 15*15 ulitaka 3m?umeshuka hadi 1.8mkwakuwa ushajua unalofanya ni utoto!,nina viwanja kadhaa chanika na ukitaka hata 25*25 homboza kwa hyo 1.8m....ni kweli chanika inaendelea ila sio kwa kasi hiyo!!!!

Weka pichaKiwanja ni changu mwenyewe,hakuna dalali.
Ukubwa ni mita 15*15(225sqms).
Bei nimepunguza kutoka 3mil hadi 1.8mil nina shida ya pesa.
Umeme upo jirani,barabara ipo na pamejengwa vizuri.
Mawasiliano 0656608136(Piga,tuma sms na Whatsapp).
Mh benki gani mkuu na huu usawa wa mzee...endelea kusubiri unadhani shida ni za kudumu,halafu kwa bei hio bora nikajilipue benki.
Chanika sehemu ipi!!..No research no right to speak.
Kiwanja nakiuza bei ya kutupa sababu ya shida ya pesa ila kipo Chanika mjini.
Wewe unalinganisha na Kisarawe(Pwani).
Mwisho utalinganisha na Msanga.
Chanika sehemu ipi!!..