stephanohonyo
Member
- Jul 29, 2015
- 34
- 21
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, naomba kwa mwana JF ambaye anauza fitness equipment used anichek tafadhar
Usikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa?Wenzako wanajenga taifa wewe unajenga mwili, kweli vipaumbele havifanani
Kibongobongo gym zinatumika ndivyo sivyo mkuu na nyingi hazina wataalamu wa afya zinaongeza uwezo wa kula tuu kwa watumiajiUsikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa?
Au kuwasaidia watu kuwa na afya njema na kuzalisha zaidi kuliko wakiwa na afya dhaifu. Hapo hujengi taifa?
Asante mkuuTufollow instagram, @vifaa_vya_mazoezi utapata vifaa vipya kwa gharama nafuu