muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,537
- 3,535
Habari wakuu,
Nipo katika mchakato wa kuanzisha biashara yangu ya kusaga na ku-pack unga wa mahindi, sembe na dona (Na baadaye kutumia pumba zangu kutengeneza animal feeds). Ningependa kutoka kwa wazoefu kuelekezwa aina ya vifaa vifuatavyo:
1. Mzani wa umeme (electrical gauge) low cost, durable and the best in the market. Wenye uwezo wa kupima walau 150kg.
2. Mzani ule wa kawaida (ulio kama kitoroli), walau wenye uwezo wa kupima 150kg
3. Sewing machine (low cost)
4. Automated machine yenye uwezo wa kujaza unga, kupima na kushona mifuko. Ambayo ni low cost, durable na yenye capacity ya kawaida, at least 5Ton/24hrs
Asanteni sana waungwana na nawasilisha. Natumai mtanisaidia mkiambatanisha na picha! Si mnajua tena JF bila picha hainogi?