Shkamoon wakuu.....Recently nlikua nafikiria kujikita kidogo kwenye biashara ya kufuga kuku wa nyama hapa hapa Dar.....Naamin wapo watu humu JF ambao wanafanya hii kitu na pia wapo successful in it..... Let me just go straight to the point... Katika research yangu ningependa kujua yafuatayo
1. Bei ya Sokoni Ya kifaranga cha kuku wa nyama ni kiasi gan?
2. Kuku 100 kwa hizo week tano mpaka wakue wanaweza kula chakula cha thaman ya kiasi gan?
3.Market Price ya kuku mmoja wa ni how much? Ukiuza kwa whole sale bei itakua kiasi gan?
4.Vitu gani ni vya kuzingatia sana katika hii biashara
4.Kioi bora kununua chakula dukan au kuchanganya chakula?
5. Kwa makadirio kwenye kuuza kuku mmoja ukimuuza anaingiza faida(NET PROOFIT) ya sh. Ngap?
ASANTENI
Am looking forward to your constructive responses