Shamba lenye miti ya aina ya pine linauzwa

Shamba lenye miti ya aina ya pine linauzwa

gwivaha

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
47
Reaction score
17
Lina ukubwa Wa heka 50
Miti INA umri Wa miaka 2
Kila heka inauzwa laki 3
Lina uzwa kuanzia heka 10 na kuendelea
Linapatikana ktk mkoa Wa NJOMBE ktk tarafa ya lupembe
Kwa mawasiliano pigs 0764426929 au0655726929
 
Tutupie picha ya hilo shamba na miti yake tulione
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom