Nauza samaki aina ya kambale

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Wapendwa ninafuga samaki aina ya kambale kuna bwawa Moja nataka kuuza bei per kg ni 5000- 6000 inategemea na kiasi unacho chukua nipo bagamoyo nje kidogo ya jiji la DSM huko ndiko mabwawa yalipo kama ukihitaji tunaweza kwenda site kuchek mzigo kwa mawasiliano piga 0763772636 karibuni
 
Hongera sana mkuu, ningekushauri ukafungua ofisi karibu na mjini au maeneo ya nayoweza kufikika kirahisi na wengi. Vinginevyo ufanye utaratibu wa kuwapelekea wateja mzigo majumbani. Ila nakupongeza kwa kuja na bidhaa mbadala wa Sato....hongera sana.
 
Vip ulifanikiwa kuwauza kambale kwa iyo bei? Uliwalisha chakula gani?walichukua muda gani kukua?
 
Nataka nifuge kambale
 
Vip ulifanikiwa kuwauza kambale kwa iyo bei? Uliwalisha chakula gani?walichukua muda gani kukua?
Nilishawauza kitambo yaani kwa sasa ni kama found ya tatu tangu niwauze wale wa mwanzon nilipata soko kilo moja nikiuza 5000 kuna mtu alichukua bwawa zima as alikuwa na tenda so ikawa rahisi kwangu
 
Hongera zako
 
Wanachukua muda gani kukua,bwawa lako Lina ukubwa gani ?linachukua kambale wangapi? Chakula gani?
SAMANI KWA USUMBUFU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom