Vifaranga wa kienyeji wanapatikana kwa1200/= tu

Refrector

Senior Member
Mar 13, 2014
187
118
Habari wanajamii forum wajasiliamali ni taarifa njema kwenu wafugaji wapya na wa zamani kuwa vifaranga vyetu ni vizuri na tunakufatilia kwa muda wa mwezi mmoja kwa huduma za ushauri na chanjo pia na kampuni inatoa huduma ya kukufikishia mpaka mlangoni kwako.KARIBUNI SANA.0657257509.
 
Karibu sana tukuhudumie na tunahakika hutajutia huduma na ubora wa vifaranga vyetu.
 
Habari wanajamii forum wajasiliamali ni taarifa njema kwenu wafugaji wapya na wa zamani kuwa vifaranga vyetu ni vizuri na tunakufatilia kwa muda wa mwezi mmoja kwa huduma za ushauri na chanjo pia na kampuni inatoa huduma ya kukufikishia mpaka mlangoni kwako.KARIBUNI SANA.0657257509.

= wajasiriamali
 
Asanteni sana wanajamii kwa kuwa unterested na sisi, tunauza vifaranga vya kuku na bei kwa kila kimoja ni 1200/= ni vijogoo kienyeji(kocksin) pia tunauza broiler @ 1800/=Kienyeji wa mayai /kishingo, kanga,kijivu mchanganyiko nyekundu (Local wa Zambia,Malawi.Tshs.2400/=.Tunauza kuanzia 100 na kama mtu anahitaji chini ya 100 itategemea oda za ofisini na endapo kuna mtu katoa oda ya vichache basi vitajumuishwa pamoja na kupewa get pass then supplier atagawanya kwa wahusika kwa kuvifata wenyewe na sio kupelekewa..Pia kuku wanaouzwa ni wa siku moja, Karibuni..!!!!!
 
Vifaranga bado wapo na ofa ya kukuletea ulipo bado ipo.KARIBU Sana.!!!
 
Kuku bado wapo na ofa ya kuletewa hadi kwako kwa vifaranga 100 bado ipo.Asanteni
 
Asanteni sana wanajamii kwa kuwa unterested na sisi, tunauza vifaranga vya kuku na bei kwa kila kimoja ni 1200/= ni vijogoo kienyeji(kocksin) pia tunauza broiler @ 1800/=Kienyeji wa mayai /kishingo, kanga,kijivu mchanganyiko nyekundu (Local wa Zambia,Malawi.Tshs.2200/=.Tunauza kuanzia 100 na kama mtu anahitaji chini ya 100 itategemea oda za ofisini na endapo kuna mtu katoa oda ya vichache basi vitajumuishwa pamoja na kupewa get pass then supplier atagawanya kwa wahusika kwa kuvifata wenyewe na sio kupelekewa..Pia kuku wanaouzwa ni wa siku moja, Karibuni..!!!!!

Mkuu hao wa kienyej pure? Na je katika hivyo vifaranga kuna mitetea au vijogoo tupu??
 
Back
Top Bottom