Kofia na valley

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
Kofia na valley
1.kofia
Hizi hutumika kufunikia pale bati zinqpokutana,inatumika kwenye angel ya paa moja inapoungana nanjingine ili ikae vizuri,na pasivuje.hizi mara nyingi huuzwa kwa urefu wa 3meter au 2.7meter au 1.7meteter unapotajiwa bei hakikig aunajua ni za urefu gani,usije uziwa bei ya za 3meter ukapewa za 2.4,2.7 ,japo mafundi wengi wamezoea kuzitengeneza kwa kununua bati la corrugated na kujikunja japo kazitkuwa na shape nzuri saana kama za moja kwa moja zinazopita kwenye machine
7d856f4d132de37cdf3fa6fc01efbbb5.jpg


2.valley
Hii iko kama kofia tofauti ni kwamba hiii hupigwa kwa ndani,ila kila kitu ni kama kofia,ila inageuzwa nje ndani
569a4a31a3ce47d520f7454d7672764f.jpg


Kofia na valley zote zina machine zake pia zinauzwa kwa gauge kama bati,zipo za 28gauge na 30gauge,mteja anaweza chukua bati za 28guage na akachukua kofia na valley za 30gauge huwa sio mbaya,kadri atavyoona budget yake inamruhusu.
6f6cf93b81f608ba43ec62ced796867e.jpg

-Kofia na valley
28gauge 13,200/= za urefu wa 3meter

30gauge 12,000/= urefu wa 3meter

Call 0656-816616
 
58ea01dbb791c42fbfdc06f74525cb66.jpg

Roofing screw
Roofing screw with plastic cap and washer
Size: 4mm×90mm
Caps color:red,blue,green,carrot,chacoal gray,see blue.

Price:10,000/=1kg=100pieces
,.......................................................

2.Colored umbralla head Roofing screw with washer.
Size: 3.85mm × 76mm
Head colors: blue green,maroon,brickred,carrot,chacoalgray,blue,red

Price:10,000/=/kg=100pieces
........................................................
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom