Mrs S
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 286
- 90
Asante kwa mlioniamini mkanipa dhamana ya pesa kwa ajili ya kuwaletea simu na mlionipa ela nikawaagizia na mkazilipia ushuru Mungu awabariki sana maana changamoto zipo nyingi kwenye biashara cha msingi mtu usikate tamaa na uhaminifu ndio kitu kizuri katika biashara na wote mlionipa changamoto na kunirushia maneno wengine kuniwazia vibaya kutokana na vile akili zenu zilivyokuwa zinafikiria asanteni sana pia Mungu azidi kuwa bariki na kuwafanya hvyo mlivyo maana mmenifanya nimekuwa imara zaid na zaidi