Plot4Sale Unayetaka Kiwanja Kisatawe II

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Bei mil 38

Ukubwa sqm 1600

Kiwanja kiko kisarawe II

Km 3 toka barabara ya lami
Maongezi yapo

For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182/+255625480963/
+255753254562/+255683860978
______________________‎
Nitumie tangazo la nyumba, viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure
wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.
_________________,
Bango
2deac2a3916b45f0a196961260462f44.jpg
 
Million 38
Uzaramoni labda niwe nimetupiwa jini LA kunifilisi
Hahahaahah Bujibuji katika ubora wako.... Mm Nina heka kumi katikati YA dezo na kahuzeni lakini hawa jamaaaa wamenivunja Moyo Sana kwenye kilimo cha mihogo na mapapai mimi nalima wenyewe wanavuna usiku asubuhi wanauza pale gate la maliasili dezo kuwashitaki uwezi kwa sababu unaweza kutupiwa busha.....
 
Kisarawe 2 Ni kigamboni bila shaka km 45 toka kati kati ya jiji na 3 tokaRoad ya Kimbiji means 48 km to the site. 38 M. Unapata nyumba mjimwema hama hama boma kibada mbaka twangoma. Any waya life is on.......
 
Kisarawe 2 Ni kigamboni bila shaka km 45 toka kati kati ya jiji na 3 tokaRoad ya Kimbiji means 48 km to the site. 38 M. Unapata nyumba mjimwema hama hama boma kibada mbaka twangoma. Any waya life is on.......
Haujui viziri chief kibada hadi kisarawe 2 kilipo kiwanja ni km 3 ,ferry hadi kibada hazizidi km 15
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom