Kitanda,godoro,mtungi wa gas vinauzwa

paulokimwasi

Member
Oct 18, 2016
24
1
Kitanda na godoro size 4*6 vinauzwa tsh.220,000/=
Mtungi wa gas 6kg complete yaan una burner na kisahani chake ila mtungi umeisha gas unauzwa tsh.40,000/=
Karibuni sana
 
Umepatwa na nini usiku wa manane mkuu, au ni hasira za kifamilia? tulia upunguze hasira kwanza ukijikuta bado kweli una wazo la kuuza weka namba za simu picha na mahali ulipo nikutafute.
 
Umepatwa na nini usiku wa manane mkuu, au ni hasira za kifamilia? tulia upunguze hasira kwanza ukijikuta bado kweli una wazo la kuuza weka namba za simu picha na mahali ulipo nikutafute.

Hahahahahahha Mkuu. Umenichekesha sana asubuhi yote hii. Huenda kweli amekutwa na maswahibu kamanda...
 
nikija na laki 4 naweza kukuchukua na wewe mpaka hali ya uchumi utakapotengamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom