Shutikali - Tovuti ya Habari na Taarifa za Michezo Tanzania ni tovuti inayoleta mageuzi kwenye kutoa taarifa za michezo,wanamichezo pamoja na timu zao,shutikali ina team ambayo imebobea kwenye...
Kwa wale wasichana mnaotaka kujifunza kazi za ndani mliopo Bukoba nipo kwa ajili yenu AGENT wa RENT A MAID & Cleaning Services yenyr usajili wa no.416087. BUGANDO MWANZA. Karibu tupeane...
Sitafuti sinu kwa ajli ya spare .
So usije hapa unaimbie unayo sijuinimekufa nini , natafuta mtu anayeuza simu nzima .
Ahsante .
Bei yangu tuanze kudiscus from 400000/=
Isiwe white.
>Viwanja viwili vinauzwa Kimara
kwa Komba.
>Havijapimwa.
>3km kutoka kimara mwisho.
>Bomba la maji limepita mbele ya
kiwanja.
>20mt kwa 20mt (20 million)
>20mt kwa 15mt (15 million)...
Nyumba inauzwa
Bei=mil40
Mahali=Twangoma km 2.5 kutoka barabara ya rami ya kigamboni.
Vyumba 3 vikubwa, kimoja master .
Sebule kubwa, dining,choo cha public .
Eneo la kujenga nyumba nyingine lipo...
nauza simu yangu huawei p8- lite jaman mpya kabisa 330000..anaetaji anichek pm
black colour
ina week 1 tu
Screen Size 5.00-inch
Resolution 720x1280 pixels
Storage 16GB
Processor 1.2GHz octa-core...
Habarini wadau,
Je ungependa kujiongezea kipato au huduma katika biashara yako?
Unaweza kuwa wakala wetu wa MobiStock na kuweza kuuza vocha za kurusha za airtel, tigo, vodacom, zantel na...
Nimeitumia kwa miezi miwili. inapiga simu bei ya kutupa 250K kwa anayehitaji karbu PM niko dar.
..........update......
Imeizwa asante sana kwa aliyeanzisha hili jukwaa
Habari Ndugu,
tunatoa huduma ya Video Shooting kwa Music aina zote, Movies, Matangazo, Events na vitu zote zinazohusu shooting.....
Gharama yetu ni rahisi saana, tunapatikana njia panda ya Segera...
MENU YA ElFU 7000,kuku robo,wali mauwa ,pilau,nyama ya ng'ombe rosti,njegele Nazi,ndizi nyama Nazi,tambi,saladi, tunda,maji uhai nusu kwa wote.ugali kwa wahitaji(chakula cha asili). Pia zipo menu...
Ipo kigamboni hii ni mpya
Bei: laki 2.5 (miezi 6)
Vyumba viwili kimoja master, jiko, , public toilet na sitting room,fence na parking
Luku na maji vinajitegemea
Ndani ya kompaundi kuna nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.