Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
Je unataka kukopa,Na uko Mwanza,njoo ukope na upate mkopo ndani ya lisaa limoja kwa kuweka dhamana ya Gari tu.
Sawa,IPO sikuIkifikia 'kuweka dhamana Vyeti' mnisitue.
-Kaveli-
Hahahahaaaaa,,, hatari sana aseeIkifikia 'kuweka dhamana Vyeti' mnisitue.
-Kaveli-
Vipi kama sina gari?Je unataka kukopa,Na uko Mwanza,njoo ukope na upate mkopo ndani ya lisaa limoja kwa kuweka dhamana ya Gari tu.
Vipi kama sina gari?
Nina mke mzuri ana chura je naweza kumweka yeye kama dhamana?
Au kwa mfano mie nauzaga majeneza naweza kuweka hata kontena moja ya majeneza kama dhamana.?
Nahitaji mkopo halafu eti benki wananiuliza nataka pesa ili nifanyie nini nikawajibu nahitaji kukuza biashara yangu,Biashara ya majeneza hulali njaaa. Hayaozi na yanatoka kila siku. Ukiwa muuzaji mzuri huitaji hata mkopo....
MmmhNahitaji mkopo halafu eti benki wananiuliza nataka pesa ili nifanyie nini nikawajibu nahitaji kukuza biashara yangu,
Walipokuja kukagua wakakuta nina stock ya majeneza zaidi ya elfu mbili eti jamaa(afisa mikopo)
anauliza "unakopa pesa ya nini wakati una mzigo mkubwa tu unaosubiri kuuza"
Nikamjibu nakopa ela ili nipanue mradi ikiwemo kuanzisha mradi wa makaburi ya kulipia.!
Jamaa hawana hamu tena na mimi waliondoka hata bila kuaga nahisi mzigo waliouona stoo umewatisha.
Eti mtu mzima unaogopa jeneza wakati ukifa unalala peke yako humo.mmthhuu.!!!
Wakikwambia riba ni 18% unapaswa kuuliza ni monthly au annually?Riba zenu zikoje? Yani ile kama nakopa 6m ninalipa ngapi kama nimekopa kwa 2yrs... maana zile % mnazopiga kwa mwezi hua mnatudanganya mnasema ni 18% wkati ukipiga hesabu mwishoni unapata 50%
Nahitaji mkopo halafu eti benki wananiuliza nataka pesa ili nifanyie nini nikawajibu nahitaji kukuza biashara yangu,