Zuria linauzwa

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,647
3,686
Zuria hapo pichani linauzwa. Nipo Sinza, kama unahitaji nichek. Limetumika miezi 3 tu.

Mita 5 kwa 4.

Bei ni 150K

b8e60f2b29a811026bb4be1441bba61b.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom