Ukisikia mtu anauza Iphone 5s, niambie.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Sitafuti sinu kwa ajli ya spare .
So usije hapa unaimbie unayo sijuinimekufa nini , natafuta mtu anayeuza simu nzima .

Ahsante .

Bei yangu tuanze kudiscus from 400000/=

Isiwe white.
 
Bei yangu tuanze kudiscus from 400000/=
Hii hapa Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com utaipata kwa 400K
- Delivery time: 2 -3 weeks
- Maelekezo ya kufanya order yako hapa JF: www.bit.ly/101buy4me karibu

upload_2017-6-7_18-52-49.png
 
Thank you .
Je kuna mtu alishawaji kuwatumia ..nisije pigwa.
Halagu naona China ....si unajua tena Wabongo na China Hatuna imani na product zao.
 
Sawa mzee nadhani nimekucheko Whatsapp..nimetumia no. Ya Airtell.
 
Je kuna mtu alishawaji kuwatumia ..nisije pigwa.
Na kukuhakikishia kuwa utapata mzigo wako
- Waweza kulipia kwa awamumbili
- Awamu ya kwanza ya malipo: pindi unaweka order
- awamu ya pili ya malipo: Pindi unakabidhiwa mzigo wako
 
Na kukuhakikishia kuwa utapata mzigo wako
- Waweza kulipia kwa awamumbili
- Awamu ya kwanza ya malipo: pindi unaweka order
- awamu ya pili ya malipo: Pindi unakabidhiwa mzigo wako
mkuu gharama ni ile ile 400 au
 
Nataka Ku order online pia, usalama wa fedha zetu ndio changamoto
 
Hizi ni Factory Refurbished. Hana tofauti na mpya. Yaweza kuja ikiwa sealed kwenye boksi lake.

Hii utalipia TZS 504,091
ok mkuu samahn kwa maswal...unaposema factory refurbished ndio nn..vp kuhus ubora wake na mpya au iliyotumika kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom