Jifunze ujasiriamali.

bitun

Member
Feb 15, 2017
18
1
Nafundisha kudizain sendals na kutengeneza bracelate style tofaut na chen za shingo kwa 5000.changamkia fursa
9c008e837e0adf31909d2df1a3e45c6b.jpg
f23a2ed0df2b739b317a2cc7498b2d50.jpg
 
kadanganya nini tena na mie nilitaka kujiunga aisee nieleweshe chaaap nisiingie chaka
Ameshanielewesha nimekosea kwenye kuweka bei but ni makosa ya kibinadamu tuu.kama unahitaji nichek tufanye biashara
 
Nafundisha kudizain sendals na kutengeneza bracelate style tofaut na chen za shingo kwa 5000.changamkia fursa
9c008e837e0adf31909d2df1a3e45c6b.jpg
f23a2ed0df2b739b317a2cc7498b2d50.jpg
bei gani hiyo kozi hasa ya kutengeneza sendals ni zile sendals za kimasai au aina gani
 
Hizi ni elfu kumi ni ndala nzito zilizodizainiwa na shanga kuanzia pic tano 7000
 
Back
Top Bottom